Wanufaika wa mradi wa DREAMS (wenye umri wa miaka 15-24) wamekamilisha mafunzo yao ya cherehani katika kituo cha mafunzo kilichopo Chapwa-Tunduma TC. Mafunzo hayo yalianza tarehe 7 Februari 2024 na yalihitimishwa tarehe 7 Mei 2024. 





 

Comments

Popular posts from this blog