Mafunzo ya Uwezeshaji Kiuchumi kwa Wasichana Balehe na Wanawake Vijana
Mafunzo ya Uwezeshaji Kiuchumi kwa Wasichana Balehe na Wanawake Vijana (wenye umri wa miaka 15 hadi 24) yaliyofanyika katika Kata ya Majengo, Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mkoa wa Songwe yaliyowezeshwa na IRDO kupitia mradi wa DREAMS kwa ufadhili wa HJFMRI.
Katika mafunzo haya, washiriki walijifunza maarifa ya utengenezaji wa sabuni ya unga, mafuta ya mgando, na ubuyu ikiwa ni jitihada za kuboresha hali zao za kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za ujasiriamali.
Comments
Post a Comment