Klabu ya Kupambana na Kudhibiti Ukatili wa Kijinsia na Watoto iliyopo katika shule ya sekondari Mwalimu Nyerere kata ya Chipaka, Halmashauri ya Mji Tunduma iliyoanzishwa na Shirika la IRDO kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba



Bahati Simchile - Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa Dawati la Jinsia na Haki za Watoto wilaya ya Momba akiwa na Judith Mwalukoba, Mshauri wa Mabinti na Rose Luvanda, Afisa Rasilimali Watu kutoka Shirika la Uwiano wa Maendeleo Vijijini (IRDO) wakitoa elimu na kushiriki michezo mbalimbali lengo ikiwa ni kupambana na kudhibiti ukatili wa kijinsia na kutetea haki za watoto kwenye Klabu ya Kupambana na Kudhibiti Ukatili wa Kijinsia na Watoto iliyopo katika shule ya sekondari Mwalimu Nyerere kata ya Chipaka, Halmashauri ya Mji Tunduma iliyoanzishwa na Shirika la IRDO kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba inayowalenga watoto wa kike na kiume waliopo shuleni ili kuwasaidia kuelewa na kupambana dhidi ya ukatili wa kijinsia na kujua haki zao vile vile kutoa elimu na ujumbe kwa jamii zikiwemo familia na umma kuhusina na elimu hiyo.

 PICHA ZA TUKIO









Comments

Popular posts from this blog